mwalimu wa sekondari, aje mkoa wa geita wilaya ya geita, shule iko karibu na mji, dk 10 kwa gari kufika shuleni, iko barabarani,. Atokee mikoa ya pwani au zanzibari.
kwa mawasiliano 0753064252
 
Yupo Mwl wa Msingi aliyerudishwa juzjuz kutoka secondary kwend msingi anatafuta mwalimu anayetaka kuhama kuja msingi tokea secondary popote pale Tanzania atafanya kazi. Yeye yupo Muleba Kagera.
 
Njoo kisarawe pwani nije mbeya jiji au mbeya vijijini idara ya msingi

0716277003/-0624058714
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije Same


Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije Same

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Natafuta mwl wa kuja wilaya maswa simiyu miniende kasulu mji kigoma idara ya msingi simu 0672533492
 
Nina ndugu yangu in mwl huko Kilimanjaro anatafuta MTU was kubadilishana kituo cha kazi yeye aje Arusha(Meru) au Arusha Dc unaweza nitext kwenye 0766024344 nikuunganishe naye.
 
Mtu aje biharamulo niende mbeya wilaya yeyote, iringa wilaya yeyote, njombe wilaya yeyote au songea wilaya yeyote! idara ya elimu sekondari -masomo ya sanaa.Asante kwa ushirikiano
 
NJOO LIWALE NIJE LINDI V (idara msingi)

Njoo Mtwara nije mrogoro- dumila
 
Mwl wa secondary tabora manispaa nataka mwalimu wakubadilishjna kutoka Morogoro manispaa au wılay y kilombero no 0719297747
 
NILIPO
WILAYA: TARIME
IDARA: SEKONDARI, MATHEMATICS
SHULE IPO MJINI, NMB BANK IMEPAKANA NA SHULE, NYUMBA ZA WALIMU ZIPO
NATAKA KUJA
MKOA: MBEYA, PREFERREBLY WILAYA ZA MBEYA MJINI, RUNGWE
MAWASILIANO: 0752728680
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…