ALIYE TAYARI KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI IDARA UALIMU WA SEKONDARI SAYANSI.,,, Aje HANDENI TANGA KWA ALIYE TAYARI ALIYEPO SEHEMU ZIFUTAZO IRINGA,NJOMBE,MAKAMBAKO,MBEYA,NA SONGWE.

Tanga raha...
 
Dada yangu Yupo musoma anataka aende Dodoma, kama kuna mtu, aje DM yupo shule ya msingi
 
Mimi niko Kyerwa Kagera ( mwl elimu ya msingi) natafta wa kubadilishana nae aje kyerwa mimi niende Bunda Mara. Mwl yeyote aliye tayari tuwasiliane
 
Wakuja halmashauri ya Bumbuli wilaya ya lushoto nije Moshi manispaa au vijijini idara msingi.
 
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae aje Mwanza mjini mi niende Mpwapwa Dodoma idara elimu ya msingi.Mawasiliano 0754350974
 
Write your reply...hivi uhamisho sio kwamba wamesitisha?
 
Eti bado hawajaruhusu uhamisho waalimu??, Kuna mtu wa karibu namuhangaikia nilisikia zoezi limesitishwa lakini bado naona humu watu wanaangaikia uhamisho!! Nipeni habari bandugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…