Kamo Master
Member
- Sep 8, 2017
- 12
- 3
Saf
Natafuta mwl wa kuja muleba kagera niende Kilimanjaro au Arusha.kwa alieko tyar tubadulishane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagera je?? Wlya ya mulebanjoo mkuranga,nije mwanza(ilemela/nyamagana)-elimu ya msingi.
Kagera je? Ni karibu na mwanzaAnahitaji kuja mwanga mkoa WA kilimanjaro mm niende mwanza wilaya yeyote an pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Muleba je ni karibu na biharamlo.0769952390Anayetaka kwenda singida akitokea biharamulo pia anipm
Ulishapata mtu wa kubalishana kituo?Njoo lushoto mjini karibu na chuo cha mahakama ija nije muheza au korogwe vijijini au handeni