Masomo gani?kama upo tayari kuja tabora mie nije kasulu nambie tupeane mawasiliano
0743201646Njoo wilaya ya Wanging'ombe nije wilaya ya Mbarali, Kyela, au tukuyu
Kongwa sehemu gani and shule ganiNjoo Dodoma Kongwa nije Mkoa wa Tanga(Tanga mjini, Korogwe, Muheza nk) au Mkoa wa Pwani(Wilaya yoyote)
Idara ya Sekondari Masomo Physics na Chemistry.
Tabora je huezi kwenda ?Mm nahtaji mwl wa kuja kigoma dc nije Singida msingi