WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Natafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance

Nahitaji kubadilishana na wa morogoro, Tanga, mbeya municipal, Iringa , mwanza

Ukihitaji njoo dm
 
Natafuta mtu kubadilishana nae Aje LINDI municipal (masomo phy and chem)

Mimi niende tabora popote
Kigoma popote ispokuwa kibondo
Rukwa popote
 
Kwa Niaba
Shule za msingi
Alipo ni NEWALA MJI
Anatak kwenda Halmashauri yoyote ya mkoa wa pwani,
NB:- kuptia mfumo inbox kwa taarfa zake Zaid
 
Kwa Niaba;
Shule za Sekondari ( Somo la Computer Science)
Alipo ni Halmashauri ya MTAMA...Lindi
Anataka kwenda Halmashauri ya ARUSHA JIJI/ ARUSHA DC
 
Nahitaj wa kubadilishana kituo
Mtu aje shinyanga DC kata ya tinde
Mimi niende kibaha,tanga au mwanza
Idara: elimu msingi
Cont 0676190335
 
Nahitaji mwl wa kubadilishana naye, nije Bagamoyo wewe uje Moshi manispaa
 
PXL_20260306_150534575.jpg
 
Njoo KILOSA Morogoro nije ILEMELA, NYAMAGANA, GEITA MJI, au SENGEREMA

Idara ya secondary, masomo physics & Biology

Tuonane PM
 
  • ELIMU: Elimu ya Msingi
  • NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C
  • KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana.
  • KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam (Halmashauri yoyote: Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, au Kigamboni)
  • MAWASILIANO: 📞 0620282169 (Piga au tuma ujumbe WhatsApp/Kawaida
 
Njoo Ukerewe idara ya elimu secondary masomo Chemistry na Biology nije wilaya yoyote kati ya mikoa ya Singida, Manyara, Dodoma, kilimanjaro na Tanga simu no. 0622637631
 
Ndugu Admin,

Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho.

Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA DC Mimi nije katika idara ya elimu ya msingi, hususan katika wilaya za Morogoro:🔴 GAIRO🔴 KILOSA🔴 MOROGORO MANISPAA🔴 MVOMERO

Iwapo kuna tangazo lolote linalohusiana na uhamisho au anayehitaji kubadilishana kituo, tafadhali wasiliana nami kwa njia ya inbox ili niweze kulitangaza kwa utaratibu unaofaa.

Kwa yeyote anayehitaji kujiunga na kundi, tumia link ifuatayo:WALIMU KUBADILISHANA TANZANIA

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.

Kwa pamoja, nguvu mpya na ari mpya

0766224929
 
Mwalimmu wakubadilishana aje Morogoro DC niende Mwanga,Same au Moshi. Elimu msingi
 
NJOO RUVUMA NIJE IRINGA, MOROGORO, MBEYA, PWANI, AU DAR. NI mwalimu Sekondari Somo English 0775208172
 
NJOO KWIMBA NIJE MOROGORO HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO AU MOROGORO VIJIJINI;0754-384094
 
Natafuta wa kubadilishana njoo halmashauri ya msalala - kahama nije kigoma Mc au kigoma DC mawasiliano ni 0620604224
KARIBU KWENYE MFUMO WA KUMPATA MTU WA KUBADILISHANA VITUO KWA URAHISI.

1. Unasajili na unaweka kituo ulichopo kwa sasa
2. unaweka mikoa na wilaya zaidi ya moja unayotaka kwenda
3. unaweka masomo yako
4. baada ya usajili kukamilika ukaingia kwenye mfumo utawaona watu wote kutoka mikoa mingine wanaofanana na wewe somo moja au yote wanaotaka kuja mkoa au wilaya uliyopo.
5. Mfumo uko vizuri sana watu wote unawaona namba za watsap na kawaida ziko pale.

• Jisajili sasa kwenye mfumo wetu wa Kubadilishana 👉 Kubadilishana Portal — Tafuta Mwenye Kubadilishana Nawe Tanzania

Mfumo unakuunganisha moja kwa moja na watumishi wa idara yako wanaotaka kuja mkoa wako, na unakujulisha kwa notification mtu akipatikana. Jisajili leo, baadaye utatushukuru!
 
Back
Top Bottom