Natafuta mwalimu wa kubadili nae kituo cha kazi, Mimi nafundisha biology secondary elimu diploma nipo liwale mjini shule mpya mangirikiti sec O_level and advance
Nahitaji kubadilishana na wa morogoro, Tanga, mbeya municipal, Iringa , mwanza
Njoo Ukerewe idara ya elimu secondary masomo Chemistry na Biology nije wilaya yoyote kati ya mikoa ya Singida, Manyara, Dodoma, kilimanjaro na Tanga simu no. 0622637631
Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho.
Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA DC Mimi nije katika idara ya elimu ya msingi, hususan katika wilaya za Morogoro:🔴 GAIRO🔴 KILOSA🔴 MOROGORO MANISPAA🔴 MVOMERO
Iwapo kuna tangazo lolote linalohusiana na uhamisho au anayehitaji kubadilishana kituo, tafadhali wasiliana nami kwa njia ya inbox ili niweze kulitangaza kwa utaratibu unaofaa.
KARIBU KWENYE MFUMO WA KUMPATA MTU WA KUBADILISHANA VITUO KWA URAHISI.
1. Unasajili na unaweka kituo ulichopo kwa sasa
2. unaweka mikoa na wilaya zaidi ya moja unayotaka kwenda
3. unaweka masomo yako
4. baada ya usajili kukamilika ukaingia kwenye mfumo utawaona watu wote kutoka mikoa mingine wanaofanana na wewe somo moja au yote wanaotaka kuja mkoa au wilaya uliyopo.
5. Mfumo uko vizuri sana watu wote unawaona namba za watsap na kawaida ziko pale.
Mfumo unakuunganisha moja kwa moja na watumishi wa idara yako wanaotaka kuja mkoa wako, na unakujulisha kwa notification mtu akipatikana. Jisajili leo, baadaye utatushukuru!