WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Ndugu wadau mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe. Nimeajiriwa mwaka jana. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mikoa ya Morogoro,Tanga, Pwani na Dar es salaam.

Mawasiliano 0757920263 na 0718073753.
 
Kama kuna mwalimu mwenyeshahada anahitaji kubadili kituo tajwa hapo juu, anicheki 0768074472
 
Nipo Msalala-Shinyanga Secondary Shahada nataka kwenda mkoa wa Kilimanjaro' nicheki 0654 495591,0754033018
 
Mimi nina mke wangu mwalimu idara ya msingi kapangiwa wilaya ya shinyanga vijijini hajaripoti bado (ajira mpya 2014), naishi nae njombe mjini!, anaomba kwa yeyote aliyepangiwa mkoa wa njombe wilaya yoyote kama atakuwa tayari kwenda shinyanga, naomba tuwasiliane kupitia 0764205502 au 0788087771
 
mwl. Wa sekondari njoo manyara,my wife anataka kwenda moro manispaa. Nitakulipa pesa ya uhamisho laki 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…