singda huend
njoo igate kata ya bugando geita vijijin
Habari wana JF?
Mimi ni mwalimu niliyepo katika halmashauri ya wilaya ya LUDEWA mkoani njombe.
Nilikuwa nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote ambaye yupo katika mikoa ya Pwani, Dar,Morogoro au Tanga kwa atakeye hitaji tuwasiliane kwa njia zifuatazo.
0717743549
[email protected].
Nibipu tuchonge kwa simu kaka
Njoo sengerema