Ramadhan vitalis
Senior Member
- Feb 10, 2014
- 134
- 4
Natafuta Mtu wa Kubadishana nae kituo cha kaz,mimi nimepangwa Same nahitaji kwenda Moshi (M) au Arusha(M) aliyeko tayari ani PM
Si unajua tena Nabii hasifiki kwao ndugu yangumkuu huko same sindo kwenu??
mbona tena wapakimbia?
Hivi inawezekana kubadili kituo hata kabla haujaripoti?
Baki huko huko ndugu! upo pamoja na mimi, twende tukapige kazi!