Nipo mkoa wa Arusha Halmashauri ya Meru Idara Sekondari (shahada) natafuta mwl wa kubadlishana nae kutoka mikoa ya Morogoro (mvomero, manispaa, kilombero), Pwani (kibaha mji, kibaha vijijini, bagamoyo) au Dar. Tuwasiliane kwa namba 0765 77 50 84
Mwalimu faustin bayo anatafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, idara ya sekondari! Yeye yupo mtwara anataka kwenda manyara, arusha, tanga au kilimanjaro!
Mawasiliano 0785614383