WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

MIM NI MWALIMU SALUMU MBUNDA IDARA:ELIMU SECONDAR WILAYA YA BUNDA.....

NATAFUTA MWLM WA KUBADILISHANA NAYE KUTOKA MBEYA AU IRINGA, AJE BUNDA......:

TUWASILIANE KUPITIA NO_ +255754982533,Au +255683471892
 
MIM NI MWALIMU IDARA YA SECONDAR WILAYA YA BUNDA NATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAYE KUTOKA MBEYA AU IRINGA AJE BUNDA MARA

TUWASILIANE KWA NO_ +255754982533,au +255683471892
 
Mwalimu secondary nipo manispaa ya mtwara natafuta mwalimu wakubadilisha kutoka manispaa yeyote ya Dar es salaam,morogoro, na kibaha mawasiliasiliano 0713 457989
 
Mimi ni mwalimu mwenye TSD na CHECK No pamoja na barua ya kuthibitishwa kazini
natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Kigoma mimi niende mkoa wowote
kwamawasiliano piga simu no 0755 574507 au 0788 466106
 
Mwalimu anayetaka Kuamia Kigoma tuwasiliane kwa namba 0766 574507
nipo Kasulu mjini
 
Njoo Kigoma Kasulu mjini mimi nije Dodoma,morogoro,Tanga au Mbeya
mawasiliano 0766 574507
 
Njoo Tabora_uyui halmashauri mpya kutoka tabora mjn.
Nchek hapa 0659 786 672 au 0759 690942
 
natafuta mwalim wa kubadilishana nae kutoka kutoka manispaa ya SINGIDA yeye aje halmashaur ya MBINGA,Nichek 0765070911
 
Mwl YUPO SINGIDA MANISPAA IDARA MSINGI ANATAKA KUHAMIA TANGA-lushoto,korogwe,handeni,tanga v au kilindi.
Na 0756231236/0756806493/0719184787
 
Nipo Shinyanga-Msalala ajira mpya secondary nataka kurudi Kilimanjaro' 0654495591. 0754033018
 
Nipo halmashauri ya Buhigwe(Kigoma) idara elimu msingi kama upo arusha,klm njaro,morogoro,manyara,dodoma.0755374647/0784735137
 
Halmashauri ya buhigwe (kigoma)idara shule za m/s.kama upo arusha,manyara,kilimanjaro,morogoro na tanga.0755374647/0784735137
 
Nipo Kasulu kigoma secondary, kama upo Mkoa wa Mara njoo tubadilishane,idara secondary.naitwa Kasili Bigambo.0759672984
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…