Anaetaka kuja Serengeti niende Mwanza Jiji, kitanda na godoro pamoja na jiko dogo la gesi la kg 15 ntamwachia na 50,000/= ya kuanzia maisha! Idara ya Msingi nipo jiran sana na mjn dk 15 unafika town!
Nipo katavi wilaya ya mpanda idara ya msingi. Kwa yeyote anayetaka kuja huku anakaribishwa. Masharti atokee wilaya ya mbozi, momba rungwe au ileje. Contacts zangu ni 0767589452 au 0759282829.
IRINGA-KILOLO EDUCATION DEPARTMENT. Any one from bagamoyo, dsm( ilala,kinondoni, temeke, mkuranga and kisarawe. You are Welcome in iringa kilolo. Good weather and foods are available daily, electricity, roads permitable, networks. Contact me via 0759282829.
Habari wanajamvi.
IDARA YA MSINGI
Nipo KATAVI-MPANDA natafuta Mwl. wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka IRINGA, NJOMBE au MBEYA (Wilaya ya MBOZI, MOMBA, RUNGWE au ILEJE).
Mawasiliano: 0767 589 452
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Mkata iliyoko Handeni katika mkoa wa Tanga natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Tanga mimi niende Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai. Awe na barua ya usibitisho kazini.
Wakuu,wale wa mbeya jiji,mbeya vijijini,chunya mjini,momba,rungwe,busokelo,kyela,mbalari, na mbozi,MNATAKA KUJA HALMASHAURI YA WILAYA NJOMBE PGA-0765432283,N:B- KARIBU NJOMBE UPATE UTAJIRI WA HARAKA KWA KUPTIA KILIMO!
Mimi ni mwalimu wa Sekondari nina miaka 9 kazini niko Halmashauri ya Wilaya ya Same. Naomba kama kuna Mwalimu anayetaka kuhamia Same kutoka Rombo Naomba nibadilishane nae contacts 0784407717 / 0763599781.
Wadau nahitaji kwenda ilemela au nyamagana niko Sengerema naombaa wa kubadilishana na mwl. Anaehitaji kuja sengerema idara ya sekondari 0712905698 & 0786952954