Voli kitoki
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 365
- 92
natafuta mwalimu wa kubadilishana kutoka morogoro,Tanga,Arusha,Moshi,manyara na mbeya aje KILWA.tuwasiliane 0652040227
nakushauri andika barua kama unasababu maalum uombe nafasi huko unakotaka kuhamia halafu ukikubaliwa maombi peleka TAMISEMI badala ya kutumia huo utaratibu, jaribu hilo utafanikiwa
unaikimbia gas mkuu