WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
naitwa mwl omari wa mtwara wilaya ya tandahimba natafuta mwl yeyote wa kubadilishana nae kutoka mkuranga au Temeke.
Jukwaa la Picha?????? Mh.. Au !! Labda ungehamisha bandiko lako mwalimu lipeleke jukwaa husika
 
mmhh nina mashaka kama kweli ww ni mwalimu..kama umeweka suala lako ktk jukwaa la picha hushindwi kuwaambia wanafunzi 3+4=126
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari npo mafia mkoa wa pwani natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aliyekuepo morogoro mjini.kwa mawacliano zaidi nipigie.0714 145165.
 
Ingekuwa mpiga picha nipo,hata hivyo endelea kusubiri hata kama ni mwaka,utapata tu.
 
nakushauri andika barua kama unasababu maalum uombe nafasi huko unakotaka kuhamia halafu ukikubaliwa maombi peleka TAMISEMI badala ya kutumia huo utaratibu, jaribu hilo utafanikiwa
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari mkoani Tanga-Kilindi, natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili yeye aje Tanga mimi niende Geita kwa mawasiliano tuwasiliane kupitia Na. 0784 38 40 89 au 0763 56 39 80 au 0716 79 69 08 tusaidiane ndugu zangu!!!!!
 
hata Geita mshahara ni huohuo wa wa kununulia pamba za kazini lakini maendeleo 0
 
Wapendwa natafuta mwalimu wa ajira mpya wa kubadilishana naye kituo cha kazi mkoa wa dar toka manispaa ya ilala niende manispaa ya kinondoni ila iwe shule za mbezi ya kimara.Kama yupo tuwasiliane hapa.THANKS
 
Back
Top Bottom