Njoo kilwa masoko,,dogo aende kibaha,Dar au mkuranga..idara ya sekondari
Nipo MAGU -Mwanza nahitaji kubadilisha na Mwl aliye Iringa na Mbeya.Idara sec. 0714620133
Umeweka full particulars zako hadharani humu kuna matapeli.. mtu akitaka kubadili nawe si mtaanzia PM
Nipe namba mwana utakuwa umenisaidia sana nahitaji kurudi sengerema kwetu
We issleo a c Kuna mtu Alisema umtafute hamkuelewana?
Jamani ina maana hakuna wazawa wa mtwara? au ndo hampataki kwenu? nataka kwenda mkoa wwt wa kaskazini njoo mtwara newala. niPM
MI NAHITAJI KUJA NYUMBANI MTWARA NEWALA TUWASILIANE HAPA FIRST BORN 0714994228 / 0688264401 NIPO PRIMARY WE IDARA GANIII....!!!?