WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayehitaji kuja Kiteto-Manyara mi nije Monduli.Idara ya msingi tuwacliane 0755-375428/0789824060.
 
Njoo mtwara mjin nije mwanza jiji, geita, au musoma mjini. idara secondary namba yangu 0652620272
 
Jamani hakuna anayetaka kuja singida mjini... tuswap moro au dodoma.. "usafiri wa mizigo utagharamiwa mchakato ukikamilika"
 
Yupo Mbeya-Mbozi.Anahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Morogoro Manispaa.Idara ya Sekondari.
0767 969292
 
njoo Kasulu nije ushrombo,kahama,geita,babati, singida au dodoma. idara ya sec
 
kuna mtu idara ya msingi anatoka mwanza sengerema aende moro,TANGA,Pwani,dodoma,bagamoyo au dar mamba yake 0766097972
 
Kwa aliyeko mwanza wilaya yeyote idara ya msingi kutana mwenzako aliyeko mang'ola mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana kupitia namba 0754039566/0753738325
 
Njoo Urambo Mjini Nije Morogoro mjini primary school
0754821240
 
Idara sec ukerewe-mwanza nahitaji kubadilishana na Mwl aliye Iringa,mbeya na njombe.mawasiliano 0714620133
 
mwnye namba.0717399889 kutoka geita anataka kwenda dar,pwani,dodoma,moro,mtwara au tanga.idara sec
 
Nipo Lindi idara ya Elimu-Msingi natafuta Mwl wa kubadilishana awe anatoka wilaya TANGA-Tanga mjn,Korogwe,Lushoto,Muheza au PWANI-Kibaha,Bagamoyo..Tuwasiliane kupitia namba 0658001368 au ni pm..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…