Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mkoa wa Mwanza wilaya yoyote. Mwenye uhitaji anitafute kwa namba 0764914405
Mwalimu idara ya elimu sekondari Njoo kasulu mjini niende dar, kibaha, moro, iringa,mbeya, bagamoyo, mtwara, lind manispaa,arusha,kilimanjaro au songea. Tusomane kwa 0759167916 au 0715167916
Mwalimu Gloria Benson yupo Wilaya ya Iramba-Singida, anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa dar idara ya sekondari, mtafte kwa 0753588636
Kwa mwalim aliyeko mwanza wilaya yeyote isipokua ukerewe kutana na mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi idara ya msingi wasiliana kupitia namba 0753738325
nipo wilaya ya mwanga, kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka mkoa wa mwanza wilaya yoyote. Mwenye uhitaji anitafute kwa namba 0764914405