idara ya elimu msingi,nipo Iguguno h/w Mkalama SINGIDA karb na Manispaa huduma zote zipo,Aliyetayari kutoka Korogwe mji, vijijini,Lushoto au Handen TANGA tubadilishane.piga 0684711818
au 0652227822.Inshallah!
Mwalimu idara ya sekondar. yuko mkoa wa Arusha wilaya ya ngorongoro anatafuta mwl wa kubadilishana naye kutoka kilimanjaro wilaya ya hai,moshi manispaa au moshi vijijini. Contact 0756088109 au 0713066295