Njoo Iguguno -Mkalama n karb na Manispaa ya SINGIDA huduma zote zipo anaepajua.Nije Tanga Lushoto au Korogwe.Idara elimu msingi changamka nafasi ndiyo hii.
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kunadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Dar es salaam au Kibaha. Kwa mwenye uhitaji ani PM
kuondoka mjini nipo tayari kwa wale wa Tanga njoo Iguguno-Mkalama Singida nije Lushoto,korogwe,Handen mjini tu.BP AU PIGA 0684711818 AU 0652227822 idara msingi.
Mwalimu idara ya sekondari yko mkoa wa Kilimanjaro wilaya hai,(Maili sita) shule iko barabaran kbsa kma mita 200 kutoka barabara ya Arusha-Moshi.Anatafuta wa kubadilishana nae kutoka Tanga jiji.Ni pm for Contacts!