WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Hivi mtu unapoandika tu 'njoo Ilala' bila kuweka ufafanuzi wowote wa idara yako na unakotaka kwenda una mana gani? Uko serious au unadhihaki watu? au ni mwizi unatka kuibia watu?
 
Njoo Iguguno town Mkalama Singida nije Tanga Lushoto ,korogwe au Handeni.
 
Mwalimu wa sekondary kutoka Songea vijijini anataka kuja Dsm (Temeke).
Kama uko tayari pm tafadhali!!
 
Aslm aleikhm jamiyah annas!
Bismillah arahman rahim
mm mwl.id'ara elmu msingi nipo Iguguno mjini,H/w Mkalama Singida.
Aliye Lushoto,korogwe,Handen au Tanga.Tubadilishane.piga au text m 0684 71 18 18 au
0652 22 78 22. INSHALLAH!
 
Mwl wa msingi alieko MOROGORO,TANGA au PWANI anaetaka kuja SONGEA MKOANI RUVUMA.
Naomba tuwasiliane kwa na.
0787552918
0713552918
 
mimi mwalimu idara ya sec niko moshi mjini natafuta wa kubadilishana nae morogoro mijni dodoma mjini au dsm0714462292
 
mimi mwalimu niko Moshi mjini idara sec natafuta wa kubadlishana nae aje moshi mjini niende morogr mjini dodoma mjini au dsm 0714462292
 
Mwl msingi kutoka shinyanga.Kishapu.anataka kuja moshi au ARUSHA. Wilaya zote.check 0712872378
 
Mwl msingi kutoka wilaya yoyote mkoa Kilimanjaro au ARUSHA njoo Kishapu shinyanga.phone no.0712872378
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…