WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Tubadilishane wewe uje kiomboi-iramba mm nije mbeya mjin,uyole au mbarali 0762078708
 
Njoo lushoto mm niende bariadi kwetu sms 0687829764

Njoo Singida nikaribu na bariadi ukiondoka saa sita kwenye saa tisa unusu ushafika.Hatimaye utaendelea na mchakato watu n wengi wa bariad wanataka kuja SINGIDA.
 
njoo singida idara msingi Iguguno Mkalama nije Lushoto,Kor,Handen TANGA.0684711818.
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya yoyote ya mkoa wa Mwanza kasoro Ukerewe. Kwa mwenye uhitaji anitafute kwa namba 0764914405
 
npo klosa-moro sec. km upo nzega-tabora tubadlishane
 
Njoo kizaga sekondari iliyopo iramba-kiomboi mimi nije mbeya mjini,uyole au mbarali 0762078708
 
kuna ndugu yangu yupo muleba kagera anahitaji wakubadilishana nae kutoka mikoa ya pwani,lindi na mtwara. idara secondary
 
Wapendwa tusaidiane njoo
Iguguno Mjini H/w Mkalama Singida idara elmu msingi nije Lushoto,Korogwe,Muheza,Handen,Tanga au Pangani.0684 71 18 18 au 0652 22 78 22
Asante!
 
Njoo Buhigwe mkoa wa Kigoma me niende Mbeya wilaya yoyote, moro,Iringa,Songea,Dar,Pwani,Mtwara,Sumbawanga. Idara sec if ur interested ni PM
 
Mimi mwalimu Richard wa Dodoma Manispaa (mjini) natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka Moshi Manispaa au Arusha jiji nipo idara ya sekondari. Kama upo tayari nitafute 0758121353, 0717690221, 0684533627
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…