WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Zedy mkelehe njoo kasulu mjini nije mafia, dar, zanzibar,pwani,morogoro,iringa,mbeya. Idara sekondari 0759167916, 0715167916
 
Njoo SINGIDA nije Muheza,lushoto,Handeni,kor,Pangani Tanga,s/m. simu 0684711818.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondari.0684122208.
 
nipo mbeya mjini nataka kuja Dar Temeke. atakaye pendezwa na hili aniicheki kwa 0752 208 969 au 0718 597 601..
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Bagamoyo, Dar es salaam au Kibaha. Kwa mwenye uhitaji ani PM.
 
Mwansheni. ulishapata wa kubadirishana naye?njoo Kahama.
 
Njoo-H/w Ushetu Kahama rafiki yangu aje Mkalama Singida au Lushoto,Handeni,pangani TANGA. elimu msingi Pga/bip 0684711818 ntakuunganisha.
 
Njoo Iguguno mkalama Singida nije Lushoto,Handeni,pangani Tanga.Kibaha,bagamoyo pwani.Idara elimu msingi.pga au bp Simu 0684711818.
 
njoo mwanza sengerema nije moro au pwani wilaya yeyote.idara ya sekondari 0767292827
 
mambo zenu, kwa anaetaka kuhama nipo kigoma s/m nyamuhoza just call me from arusha,mbeya,mwanza,dodoma and moro my no 076871127 and 0785080410.
 
Njoo kigoma mjini idara ya secondary nije mbeya,morogoro,iringa na njombe mjini
 
Njoo TABORA nije DODOMA,MOROGORO,IRINGA,NJOMBE,MBEYA,RUKWA,RUVUMA,DAR,PWANI. IDARA YA SEKONDARI 0686687221
 
Je, upo Kibaha na ungependa kuhamia moshi? Je, wewe ni mwalimu wa secondary na unatamani kufanya kazi moahi? Chukua hatua
 
Wewe uje kizaga sekondari ya ilamba-kiomboi(singida)shule ipo barabaran kabisa mimi nije mbeya mjini,uyole au mbarali 0762078708
 
je Unapenda kuishi Singida?
Tubadilishane nije lushoto,Handen,pangani,TANGA.Idara elimu msingi.Nipo pazuri tu,hata ajira mpya unaruhusiwa uwe na check number tu! Kama upo tayari simu 0684711818.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…