WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

njoo MTWARA MASASI nije

MANYARA
TANGA
KILIMANJARO
ARUSHA
wilaya yeyote katika mikoa hiyo
idara ya msingi
0757 974776
 
Mwalimu Idara ya MSINGI yupo wilaya ya ROMBO-KILIMANJARO.Anatafuta wa kubadilishana naye kutoka halmashauri yoyote DAR.
AU wilaya yoyote katika mkoa wa PWANI isipokuwa wilaya ya MAFIA.
Cont: 0755 449672
 
Nenda CHATO MJINI mdogo wangu aje DODOMA MANISPAA. Idara ya sec. Wasiliana naye: 0764264315.
 
S/M. Nenda KASULU ndugu yangu aje CHATO. Wasiliana nae: 0764264315.
 
Kibondo hupataki
Njoo kibondo nije singida,dodoma, na kiteto
 
Nipo iramba idara ya secondary nahtaji mtu wa kubadilishana aje iramba nije mbeya jiji. 0787864236
 
Njoo tabora idara ya sekondari mimi nije popote dodoma,morogoro,iringa,njombe,mbeya,sumbawanga,ruvuma. Ntachangia gharama za nauli na mchakato mzima. 0686687221
 
Aliye tayari kuja ULANGA kuna mtu anataka kwenda MOROGORO MJINI.tuwasiliane hapa mwalimu secondary
 
Mwalimu idara ya sekondari aliyetayari kuja tanga jiji mie nienda kibaha mjin, mlandizi au manispaa ya morogoro tafadhali tuwasiliane kupitia no 0713841863 au 0752975848
 
Mwalimu idara ya sekondari aliyetayari kuja tanga jiji mie nienda kibaha mjin, mlandizi au manispaa ya morogoro tafadhali tuwasiliane kupitia no 0713841863 au 0752975848
 
Kama kawaida natafuta mwl anayetoka wilaya ya mbozi mbeya anataka kuhamia wilaya ya rungwe mbeyq idara ya secondary naomba tuwasiliane k.k no. 0768117713
 
MWL.YUPO USHETU KAHAMA elimu msingi aliye tayar kubadilishana wa H/w Mkalama Singida piga au bp 0684 711 818
 
SINGIDA JE?
Nipo Iguguno-Mkalama-SINGIDA nataka rudi home KOROGWE,LUSHOTO,PANGANI,HANDENI AU MUHEZA TANGA nipo mjini kias ukichelewa mwenzio anawah
Contact 0684 71 18 18 .
Inshallah!
 
Njoo lushoto tanga s/m mm nirud kwetu bariadi simiu 0687829764

Njoo Singida hukawii utahamia bariad kwa moja kwa moja labda uende TAMISEMI.Mie hata nipate wa Hai,Mwanga au Moshi ntasogea shida nifike Tanga,Na ukichelewa hata mie wa Singida karibu na bariadi utanikosa!
 
Mwalimu wa Sekondari uliyeko MUHEZA au TANGA JIJI na unahitaji kuhamia MKINGA kwa kubadilishana.
Piga au tuma msg:
0759 45 89 22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…