idara msingi huyu ni
Mwalim kutoka mkoa mwanza-sengelema anatafuta wa kubadilishina nae kutoka mikoa ya pwani(kisarawe,rufiji,mkuranga,kibaha, bagamoyo) , na dar es salam.
NI PM nkuunganishe naye.
Rafiki yangu yupo HANDENI idara ya msingi anatafuta wa kumbadilishia kituo aende MOROGORO
njoo Singida hukai sana utapata mtu wa Arusha! nicall 0684711818.
ntafutie wa idara ya sekondari aje kilwa..lindi..kupo vizuri
kilimanjaro kwa kilindi tanga pm
uliyepo Kilimanjaro wilaya yoyote, idara ya msingi, njoo TANGA~Handeni
Ww uende wap?
njoo lindi
jaman njoni njombe niende handeni au korogwe mkoa wa tanga
Friend wangu aende sengerema idara ya secondary[/QU
Ok,poa