WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl nipo Mtwara msingi anaehitaji kuja kutoka Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, na Rukwa tuwasiliane 0689976850 au 0768948179
 
Njoo Tukuyu, idara secondary nije Njombe au Iringa. 0714010511
 
jamani mbona kimya naitaji nitoke rukwa wilaya ya nkasi nije mbeya,moro au dar.shule iko pazur ni karib na sumbawanga mjini.inaeneo la hekar 2700 kwa anaetaka kulima na nyumba ipo ntamuachia...idara sekondari...
 
Mimi mwalimu Idara ya sekondar niko ya
wilaya ya Meatu
anayetaka kubadilishana ili yeye aje
meatu an inibox ili tuweze kuwasiliana
( sengerema, misungwi, shinyanga,
kahama, geita, nzega, singida, )
 
Mimi mwalimu Idara ya sekondar niko ya
wilaya ya Meatu
anayetaka kubadilishana ili yeye aje
meatu an inibox ili tuweze kuwasiliana
( sengerema, misungwi, shinyanga,
kahama, geita, nzega, singida, ) 2wasiliane 0765038511
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…