. Mwl,idara sekondari,nipo Muleba,njoo Muleba,nije wilaya yoyote Morogoro,au Rufiji.MWL IDARA YA SEKONDARI NJOO MOSHI WILAYA YA HAI NIJE TANGA JIJI AU MUHEZA! Nicheki kwa pm
mimi ni mwalimu idara secondary natafuta wa kubadilishana nae kutoka masasi mimi nije kibaha
Mwalimu wa shule ya msingi anataka wa kubadilishana nae kituo. Yuko Handeni Tanga. Anataka kuhamia Mbeya wilaya yoyote. Mtafute kwa simu 0753 176 004
Njoo lushoto-bumbuli mm nije wilaya yoyote ya kigoma.km vp ni pm.
Idara sekondari
jaman njoni njombe niende handeni au korogwe mkoa wa tanga
Mwl toka maeneo haya KOROGWE,,IRINGA Mjin,,MBEYA Jiji,,Moro manispaa kuja Mahenge/Ulanga,,anahitajika,,tuma sms au piga 0787914799.wakat wowote Changamkia fursa mwl yupo tayar,,
njoo lushoto-tanga,mi'nije njombe!
aje kasulu mjini 0716708086weka namba yako nikuunganise na mwenzio mnaweza kuafikiana.