WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo kibondo nije singida,dom,kiteto nicheki 076790201
 
Kwa aliyeko mwanza wilaya yeyote idara ya msingi kutana mwenzako aliyeko karatu mkoani arusha katika kubadilishana kituo cha kazi wasiliana kupitia namba 0754039566/0753738325
 
Nipo kishapu shinyanga idara ya sec.main road ya shinyanga mwanza. Nataka kwenda njombe,iringa au mbeya!0689347515
 
Mm mwalimu Idara ya sekondari Wilaya ya Meatu, mwalimu aliye tayari tuwasiliane 0765038511 ( SENGEREMA, GEITA, SHINYANGA, NZEGA, SINGIDA, DODOMA, NA MISUNGWI )
 
Mm mwalimu Idara ya sekondari Wilaya ya Meatu, mwalimu aliye tayari tubadilishane na tuwasiliane 0765038511 ( SENGEREMA, GEITA, SHINYANGA, NZEGA, SINGIDA, DODOMA, NA MISUNGWI )
 
m mwalimu Idara ya sekondari Wilaya ya
Meatu, mwalimu aliye tayari tubadilishane
na tuwasiliane 0765038511 ( SENGEREMA,
GEITA, SHINYANGA, NZEGA, SINGIDA, DODOM
 
jaman wanajamvi mimi ni mwalim wa sekondari niko kagera wilaya ya karagwe natafuta mwalim wakubadilishana nae kituo toka mbeya,iringa au sumbawanga manispaa nawasilisha kwa mawasiliano napatikana kwa no 0764449077 au 0784584943
 
Nipo Rombo mkuu, idara msingi. Kilimanjaro. Nataka tubadilishane na alie Moshi manispaa au Arusha-Tengeru, mawasiliano 0753829782
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…