WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi ni mwalimu Elimu ya Msingi, nipo Mbogwe Geita natafuta wa kubadilishana naye kuja Mkuranga, yeye aje huku Mbogwe Geita, If you are interested please contact me via PM now!

Shikamoo mwalimu....
Hivi hapo kwenye:
red-ulikuwa na maana gani?shule ya msingi?
Green-ndo mtandao gani huo?
Swali jingine hivi wanafunzi huwa wanakuelewa?
 
Njooni njombe nije MBEYA MJI,CHUNYA MJINI,KYELA MJINI,BUSOKELO MJINI,RUNGWE,MBOZI n.k
 
Shikamoo mwalimu....
Hivi hapo kwenye:
red-ulikuwa na maana gani?shule ya msingi?
Green-ndo mtandao gani huo?
Swali jingine hivi wanafunzi huwa wanakuelewa?

PM Means Private Message kwenye JF, inaonekana wewe mgeni wa JF!, mwalimu Elimu ya Msingi Inamaana shule ya msingi (kwani kuna mwalimu ngazi nyingi, elimu ya mcng, sec etc).. Pole kwa kutonielewa.
 
njoo MWANZA~ MAGU kwenu, me niende ARUSHA~ARUMERU au MERU au TANGA~ KOROGWE , msingi call me 0789296522

Karatu mbona ni chugga tuu unapiga 3 month then unaingia wilaya unayotaka, miaapa issue kuu ni nyamagana ila nikipata magu kuingia sio issue saana
 
Idara ya sekondari njoo kasulu-Kigoma nije Mtwara, Lindi, k'njaro, Tanga, Arusha, Pwani, dsm na Mwanza. Fanya kuniPM kama uko interested
 
Anayetaka kuja MEATU idara ya seconsary kutoka Geita,sengerema, kahama,shinyanga,nzega,singida,dodoma anitafute katika namba 0765038511
 
mwalimu wa kubadilishana kuja tarime sekondari niende mwanza, nyamagana, ilemela misungwi, au Magu phn. 0757676033 na 0713995936.
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya yoyote mkoa wa Mwanza. Mwenye uhitaji anitafute 0764914405
 
Njoo NAMTUMBO nije morogoro,chalinze,bagamoyo,kibaha,kisarawe.Idara sec,nichek 0713320319 tufanye yetu
 
PM Means Private Message kwenye JF, inaonekana wewe mgeni wa JF!, mwalimu Elimu ya Msingi Inamaana shule ya msingi (kwani kuna mwalimu ngazi nyingi, elimu ya mcng, sec etc).. Pole kwa kutonielewa.
upo sahihi jamaa huenda ni mgeni humu!
 
Njoo Mwanza (Nyamagana) pamba nije Ilala, Kinondoni, Temeke, Kibaha mji, Bagamoyo au Morogoro. Idara sekondari. Simu: 0756 808875 au 0784 821973
 
PM Means Private Message kwenye JF, inaonekana wewe mgeni wa JF!, mwalimu Elimu ya Msingi Inamaana shule ya msingi (kwani kuna mwalimu ngazi nyingi, elimu ya mcng, sec etc).. Pole kwa kutonielewa.

Ahsante mwalimu kwa kunielewesha,vp mwalimu wewe huna madai kwa Serikali?
Mbona nyie walimu mnapenda kuhama hama sana?
Pia nitashukru sana kama utanielewesha
 
Nipo mkoa wa Njombe wilaya ya Ludewa nataka Mwalimu wa kubadilishana nae ngazi ya Msingi,
namba yangu 0768128455 tuwasiliane.
 
Nipo mkoa wa Njombe wilaya ya Ludewa nataka Mwalimu wa kubadilishana nae ngazi ya Msingi,
namba yangu 0768128455 tuwasiliane.

unataka kubadilishana nae ngazi ya msingi nini? Dah! Mwalimuuuuuuuu kazi kweli
 
Nipo idara ya sekondari. Kama unataka kuja jiji Mwanza (Nyamagana) pamba tuwasiliane. Nataka kwenda moja kati ya halmashauri zifuatazo: Ilala, Kinondoni, Temeke, Kibaha mji, Bagamoyo au Morogoro. Simu: 0756 808875 au 0784 821973
 
Walimu hodii , kama kuna mtu anataka kurudi kwao Nyasa Ruvuma tutafutane,wilaya hii inakua kwa kasii sana umeme unakuja mpaka dec vijiji 54 kati ya 70 vitakuwa na umeme....uwe unatoka Mbeya,moro,Iringa au Tanga Idara ya sekondari.PM ihusike zaidi...karibunii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…