WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo missenyi kagera idara sec nataka kwenda singida, manyara, igunga, dodoma au au iringa. Plz no 0688200146
 
Natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi. yeye aje huku kigoma wilaya ya Buhigwe shule ya msingi Mgogo.

atakayekuwa tayari kutoka mikoa ifuatayo, Mbeya, Sumbawanga(rukwa), Njombe na Iringa.tuwasiliane kupitia pm:hail:
 
Anayemjua mwalimu anayetaka kuja Halmashaur ya Kilindi kutoka Tanga jiji au Mkinga tuwasiliane.
 
Kwa wale wa Lindi Mtwara Mliopo Mbeya Iringa Morogoro na Njome Rukwa vilevile idara mcng tuwasiliane yufanye mabadiriko mapema
0789976850 au 0768948179
 
kubadilishana vituo kimkoa baada ya barua kupita h/w zote hatua ya mwisho ni ipi? Naomba mnifahamishe!
 
nipo wilaya ya BUhigwe (Kigoma) mwalimu shule ya msingi Mgogo, nina miaka miwili kazini, natafuta mtu wa kubadilishana yeye aje huku mi niende kati ya mikoa hii, Iringa, Njombe na Mbeya, atakaye kuwa tayari tuwasiliane PM
 
Mwambie aje newala mtwara mimi nije kilindi kama vp nicheki 0783677207.tuma hata msg theni nitakupigia.HAPA MTWARA NI RAHISI WATU WA KUBADILISHA KWENDA KILWA ATAWAPATA FASTA
 
Mwl idara ya sekondari njoo wilaya ya NEWALA-MTWARA mimi nirudi nyumbani TANGA.Wilaya yeyote kati ya hizi;TANGA JIJI,LUSHOTO,BUMBULI,MKINGA,MUHEZA,KOROGWE au KILINDI.Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0783677207,0767665619 au 0717765619
 
Mwambie aje newala
mtwara mimi nije kilindi kama vp nicheki 0783677207.tuma hata msg theni
nitakupigia.HAPA MTWARA NI RAHISI WATU WA KUBADILISHA KWENDA KILWA
ATAWAPATA FASTA

Poa ndugu nitamwambia nitampa namba zako za simu,kisha nitakufahamisha
 
Njoo Rungwe mm nije Vwawa mbozi (Idara ya msingi) mawasiliano 0752391077
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…