Mmmmhh
Mbona sioni anayetaka kuja singida loh!!!! Naona Dar tu !(tutabanana hukohuko!!!!)
Em ngoja namiye nijaribu !!
jamani anayetaka kurudi kwao huku singidani vijijini na miye nrudi kwetu Dar/moro achangamkie fursa nafasi imebaki moja!!!!(Sek) mweehh!!!
full umeme nini maji samaki loh!!!viwanja laki 7 tu ushajenga mgorofa huo!! loh fursa njenje!!!!
Ohooo walimu mpooo sema tupo kama mfuko wa GEPF. SASA naongeza eneo mwalimu anayetokea wilaya kati ya momba au mbozi mbeya tubadilishane mimi ni mwalimu wa sekondari nipo Tukuyu wilaya ya Rungwe Mbya mkoa. Call 0768117713.
jaman hamtaki kurudi kwenu mbeya? njoo halmashauri ya mbeya nije dodoma manispaa,manyon au mwanza jiji! idara secondary, muda ndo unaxepa hivyo, nicheki hapa 0652 858586 au 0764 118282 tuanze mchakato fasta!
Mimi nipo SONGEA mkoa wa RUVUMA shule ya msingi.
Aliyetayari tubadilishane kituo kutoka mikoa ifuatayo.
1.MOROGORO.
2.PWANI.
3.TANGA.
4.ARUSHA.
YEYE AJE SONGEA MKOA WA RUVUMA
Tuwasiliane kwa na.
0713 552918.
Au
0787 552918.