WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwalimu idara msingi nipo mbeya nahitaji kubadilishana na mwalimu toka Dar es salaam au Pwani. 0717629898
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
.
 
Anayetaka Kuja Njombe Karibu Na Makambako "Idara Ya Secondary",mi Nije Mbeyajiji,mbeyavijijin,rungwe,kyela,mbozi,busokelo,chunya Mjini. Kwa Wale Walioserius 0719432283 Ili Tuanze Michakato Mapema.
 
Njoo Kahama Mjin,huyu Aje Mbeyajiji,mbeyavjjn,mbozi,kyela,rungwe,momba! 0719432283 Idara Secondari
 
Njoo Moshi nije Mbeya Iringa Morogoro naitwa Kachima nipo Moshi idara ya secondary! 0713819887
 
Mwl idara msingi yupo HANANG-MANYARA anatafuta mwl wakubadilishana nae kutoka eidha DAR;MORO au PWANI.
No:0683194210 au
0719842584
 
Njoo kibondo wilayani kigoma nijw same;arusha;babati;katesh;au kilimanjaro piga namba hii0764411446
 
Nipo mwanza jijji nyamagana nahitaji dar es salaam jiji au kibaha mjini idara sekondari.
0716264618 au 0756021311
 
Mwalimu wa sekondari nipo wilaya same..njoo same nije dodoma,morogoro,moshi vijijin,meru,au arusha vijijin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…