WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo katesh hanang
msingi
**** upo kilombereo Ifakara tubadilishane

piga. 0686387132
 
Nipo idara ya elimu msingi
wilaya ya hanang katesh
kama uko kilombero
njoo katesh ili nije kilombero
piga 0686387132
 
Yeah atakuwa ni mgeni kweli, wenzie tulianza na hodi tukakaribishwa jukwaani!
 
Nipo morogoro manispaa natafuta wa kubadirishana nae niende wilaya ya misungwi mwanza idara sekondari. Tuwasiliane kwa 0769320836
 
Anayetaka kuja Kisarawe karibu na dar, me nataka moro town . 0787555050
 
njoo kahama halmashaur ya mji nije tanga,pwan.ni pm kama uko tayar
 
njoo kasulu mjin idara ya sec nije babati moro dom au moshi 0756729922
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo handeni TANGA. Nije
dar wilaya yoyote
Mkuranga
Kibaha
idara sec
0786475050
0715475050
 
Njoo SONGEA idara ya msingi nije mikoa ya TANGA,PWANI,MKURANGA,MORO,
Mawasiliano.
0787552918
0713552918
 
Back
Top Bottom