JE? Kuna wa Misungwi anataka kuja Tarime ani PMnjoo mwanza misungwi mimi nije arusha mjini au moshi nitafte 0752139170
Njoo Rungwe-mbeya nije Dar es salaam au kibaha.idara msingi. Aliye tayari 0717629898
njoo tanga lushoto nije moshi vijijini kilimanjaro idara msingi.0762815490,0783448327.
nipo sikonge natafuta mtu wa kubadilishana kutoka mkoa wa manyara,arusha,kilimanjaro
Mwl (msingi) ni ndugu yangu yupo dodoma mjini, abadilishane na wa temeke, ilala au kinondoni.