WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Bado natafuta mtu wa kuja singida (manyoni),nije songea manispaa ndugu zangu.
0788-448728
 
NatFuta mwl toka babat,monduli au karatu anayetaka kuja same kilimanjaro idara ya sec. Anitafute kwa namba:0784195782
 
Njoo same kilimanjaro niende babati kiteto karatu au monduli idara ya sec. Namba ya simu 0784195782
 
mwalim muhund yuko busega idara sekondari anatafuta mtu wa kubadilishana kutoka mbozi,mbeya mjin au vijijin,kyela na rungwe mawasiliano 07585343387.
 
Nna mke huko kilimanjaro wilaya ya moshi vijijin nataka aje dar kwa aliyeko tayar nafas hiyo no yangu 0752587129
 
Njoo wilaya ya tabora nauli sh 1500 kwenda mjini nije kagera wilaya za karagwe,kyerwa na bukoba manispaa simu 0786 279 760 au 0659 138 224
 
njoo MUSOMA
nije PWANI
TANGA
DAR
MOROGORO
DODOMA
ARUSHA
idara ya msingi
# 0753 629314
# 0785 077035
 
1. Nina mdogo wangu yuko Simiyu ni mwl wa msingi na angetaka kuhamia kanda ya Kaskazini kama
2. Na nina mdogo wangu mwingine ni mwl. wa secondari wilaya ya Rombo na angetaka kuhamia Arusha au Manyara
Mwenye kusaidia ani PM.
 
anaehitaji kwenda kahama mwl yupo halmashaur ya kahama mjin kama upo tanga au maeneo ya pwani fursa ni yako hyo
 
Naitwa Daniel Mwakisale natafuta wa kubadilishana nae kituo nipo mkoa wa kilimanjaro wilaya ya Same idara ya sekondari! natafuta aliye mbeya jiji tubadilishane! 0782770679, 0752206626
p.o.box 61 ,Same.
 
Back
Top Bottom