WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi ni Adam Shija, mwalim idara ya sekondari. Natafuta mwalim wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje BARIADI mimi niende MAGU, MWANZA. Tuwasiliane kwa namba: 0767835047
 
Mimi ni Alon Mwakalebela, mwalim idara ya sekondari. Natafuta mwalim wa kubadilishana nae yeye aje BARIADI-SIMIYU mimi niende MOROGORO MANISPAA. Nitafute ktk namba: 0652376899
 
Idara ya sek,yuko halmashauri ya wilaya ya lushoto,anahitaji kubadilishana na aliyeko karatu,mbulu au babati.no 0718412841
 
Mwl KILEMELA idara sec yupo TABORA MANISPAA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka TANGA korogwe;muheza au tanga mini.
No:0785057069
 
njoo MUSOMA
nije PWANI
DAR
TANGA
DODOMA
MOROGORO
ARUSHA
idara ya msingi
# 0753 629314
# 0785 077035
 
njoo newala mkoa wa mtwara, idara ya secondary
nije arusha, kilimanjaro, au manyara wilaya zozote.
0784 353 260.
 
nipo sikonge tabora natafuta wa kubadilishana kutoka kilimanjaro,tanga,arusha,manyara,moro idara ya seco namba 0759016064
 
Njoo Singida-Manyoni nije Songea Manispaa.
0788448728
 
Nipo wilaya ya Mwanga idara ya sekondari, nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya ya Bagamoyo au Kibaha. Kwa mwenye uhitaji ani PM
 
Back
Top Bottom