WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi mwalimu wa sekondari nipo mwanza jiji nyamagana natafuta wa kubadilishana nae aje mwanza jiji nami nije dar es salaam jiji au halmashauri ya mji wa kibaha
contacts;
0716264618 au 0756021311
 
nipo mwanza jiji nyamagana;idara sekondari; nahitaji dar es salaam jiji au halmashauri ya mji wa
kibaha
contacts 0716264618 au 0756021311
 
Njoo NEWALA-MTWARA(idara ya sekondari) mimi nije halmashauri yoyote ya MKOA WA TANGA kwa mawasiliano zaidi nitafute katika namba 0783677207,0767665619 na 0717765619
 
naitwa mwl,peter joseph niko sengerema napendelea kwenda katavi,mbeya,singida au mpanda rukwa nafundisha sekondary,0754812137 au0757411652

Oyoo, niaje? Mi nipo Singida manispaa...Nicheki kwa namba hii 0764520372, kama upo serious au ni pm
 
MWL Edina idara (MSNG) yupo MUFINDI-IRINGA anatafuta MWL mwenzake wa kubadilishana nae kutoka MOROGORO popote
No:0755403912
 
Nipo Ilala, Dar natafuta mtu wa kubadilishana nae niende kahama halmashauri ya msalala.
ukiwa interested ni-PM
 
njooni musoma v idara sec umeme mpaka vichakani me nije mwanza moro kilimanjaro arusha wilaya yoyote 0717 264096
 
Naitwa peter richard mfwango nafundisha wilaya karagwe mkoa wa kagera nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye kutoka wilaya nyamagana,ilemela au misungwi. Mawasiliano; 0752005428
 
natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo yaani anayefundisha Misungwi Mwanza Au Chato aje Huku wilaya ya Rungwe Mbeya kwa mwasiliano zaidi 0764335350
Mtumie na mwingine. Idara ya sekondari
 
Mm nipo shinyanga nataka kwenda moro, tanga, arusha au pwan idara ya s/msingi kama uko tayar tuwasiliane
 
Njoo Bumbuli, Lushoto wewe uliyee kisarawe, kibaha, tanga jiji, muheza, mlandizi, mkuranga..
niPM au nicheki kwa 0752368365!!!
 
Idara ya sec; nenda CHATO Mjini -Geita, mdogo wangu aje Mwanza jiji au MORO manispaa. Wasiliana nae; 0764264315.
 
Mtwara Newala aliyatayari kutoka mikoa ya
Morogoro
Iringa
Njombe
Mbeya
Rukwa
Idara msingi ,Wilaya yoyote katika mikoa hiyo tuwasiliane ktk
0689976850 au aniPM
 
Back
Top Bottom