WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo wilaya ya Newala-Mtwara idara ya sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka HALMASHAURI YOYOTE YA MKOA WA TANGA.Kwa mawasiliano zaidi nitafute ktk namba 0783677207,0767665619 na 0717765619
 
MIMI MWL. WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO MKOANI MOROGORO, NAOMBA/NAHITAJI MWL. YEYOTE WA IDARA YA SEKONDARI AMBAYE ANAFANYA KAZI ARUSHA DC AU ARUSHA MANISPAA, ANAYETAKA/ ANAYEPENDA KUHAMIA MVOMERO ANITAFUTE PANDE HIZI AU KWNY FB: BigBarack JohKiv ili tubadilishane, NITASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU.
 
Nipo Hai mkoa wa Kilimanjaro natafuta wa kubadilshana nae kutoka ilala, temeke au kinondon aliye tayari ni PM tafadhali
 
Nipo MAHENGE mkoa wa morogoro nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye kutoka BABATI MJINI,ARUSHA JIJI NA MORO TOWN.tuwasiliane hapa au kwa pm.kada sekondari
 
Njoo lindi-nachingwea idara ya sekondari nije mbeya, iringa, morogoro, makambako, mafinga, tukuyu, dar. Ni pm nikuchek
 
Njoo LINDI VIJIJINI maeneo ya mtama barabara ya masasi nije KIBITI,MKURANGA,KIBAHA,BAGAMOYO...
 
Ni mwalimu Idara ya msingi katika Halmashauri ya wilaya ya MWANGA-KILIMANJARO.Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka wilaya za:
  • MVOMERO,
  • KILOSA,
  • PWANI,
  • KISARAWE
  • KIBAHA na
  • MKURANGA.
CONT: 0786837718 na 0765731947

 
npo ifakara wilaya ya kilombero nnataka kwenda morogoro mjin au kibaha njoo ulime mpunga !nipgie 0764370140
 
Habari wana jukwaa, kuna ndugu yangu yupo wilaya ya misenyi, kagera, anataka kubadilidhana kituo na yeyote aliyepo dodoms, morogoro,dar,
Namba 0652228923 kwa mawasiliano
 
Aliyetayari kuja Halmashauri ya Msalala-Kahama,Shinyanga idara secondary aje PM tuwasiliane atoke mkoa wa Kilimanjaro au Tanga
 
Mimi ni Mwl wa secondary nipo manispaa ya songea, kama una ndugu,jamaa au wewe mwenyewe yupo/upo mbeya jiji na ungependa kuhamia manispaa ya songea tuwasiliane. 0756 56 72 82.
 
Idara ya sekondari.njoo busega- nyanshimo jirani kbsa na mwanza nusu saa mimi nije pwani wilaya ya kibaha, kisarawe au mkuranga. Mawasiliano 0713007615 au. 0768560009
 
Naitwa mwl godwill e. Medukenya wa halmashauri ya wilaya ya mpwapwa shule ya sekondari kibakwe. Natafuta mtu wa kubadilishane nae mimi niende halmashauri ya arusha dc, meru, karatu au monduli. Contacts: 0762430192/0786649031
 
Mi mwl idara ya sec natafuta mtu wa kubadilisha aje singda manispaa tokea mwanza jiji.moro manispaa.au mosh manispaa
 
naitwa mwl,peter joseph niko sengerema napendelea kwenda katavi,mbeya,singida au mpanda rukwa nafundisha sekondary,0754812137 au0757411652
 
Back
Top Bottom