WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE
Nipo Mwanza JIJI Nyamagana Secondary
Kwa yeyote aliye Dar es salaam JIJI au Kibaha halmashauri ya Mji

Contacts
0716264618 or 0756021311 or [email protected]


 
Mwalimu idara ya sekondari songea municipal natafuta mtu wa kubadilishana kutoka moshi municipal
 
Wakuu naombeni kuunganishwa kwenye grp ya whassap ya wale waotafuta wa kubadilisha vituo, please naomba sn. Niko moro manispaa nataka kwenda temeke au ilala namba yangu 0763034175
 
mwalimu idara secondary wilaya karagwe natafuta wa kubadilishana naye ili nihamie wilaya zifutazo :nyamagana, ilemela,au misungwi.mawasiliano 0752005428
 
Kuna group lawalimu limeazishwa tuma sms kwenye namba 0763 240 278 alaf nkueke huenda ukapata mwl wakubadilishana nae huko!
 
njoo pwan__kibiti nije mwanza, dom, manyara au moro. idara ya sec. nichek 0782381466
 
Back
Top Bottom