WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Jamani samahani sana mm ni kijana wa miaka 25 nimefanikiwa kutunga vitabu 3 vya kujifunza kiingereza na tafsiri ya kiswahili lakn pia vina matamshi ya namna ya kusoma maneno ya kiingereza (pronunciation). Kusema ukweli mtaani vimepata kibali cha ajabu na vinakubalika sana pale ninapokuwa navitembeza bac hupata mauzo mazuri tu. Nimeona wengi wakisaidika kimawazo kwa maswali yao hapa jf. Tatizo kubwa linalonsumbua ni kwamba nashindwa kujitanua sababu sijui soko lake hapa nchini likoje ili na mm niviingize sokoni. Naomba kaka zangu kama kuna anayejua hatua kwa hatua cha kufanya ili niviingize sokoni naomba msaada kimawazo wazoefu wangu. Email yangu ni [email protected]. Natanguliza asante kwa wote watakaonishauri.
 
Mwl. wa kubadilishana kutoka mbinga _Ruvuma kwenda songea mjini,njombe,mafinga au mbey jiji/vijijn. Idara sec. ni pm kama upo tayari!
 
njoo pwan__kibiti nije mwanza, dom, manyara au moro. idara ya sec. nichek 0782381466

Mimi niko kibondo mjini shule sekondari malagarasi Nataka WA kubadilishana naye nije kibaha ;moro, manyara, arusha, moshi au tanga. Check on 0766552358
 
mwalimu wa sekondar anatafuta wa kubadilishana nae ye yuko tabora kaliua ANATAKA KWENDA DODOMA
 
Njoo mbeya Busokelo Tukuyu shule mwakaleli sec nije iringa mjini au iringa vijijin.Kama uko tayar ni pm.
 
NIPO Kasulu mji anayeka kuja kufanya kAZI akitokea manyara , Arusha, MOSHI, Tanga. Idara ya sec
 
Back
Top Bottom