Njooo geita! No pmNjoo Ilala idala ya secondary mimi niende Kigoma wilaya yoyote, Rukwa wilaya, Singida wilaya yoyote au Mara
Ukipangiwa Kigoma jipange kwa maombi kupata mtu wa kubadilishana nae ni NEEMA YA MUNGU
Kaka waha hawataki kurudi kwao kabisa! Unajisumbua bureMwalimu wa Kigoma idara ya msingi anatafuta mtu wa kubadilishana nae atoke kati ya wilaya hizi:-
1.Sengerema
2.Ukerewe
3.Bunda
4.Misungwi
5.Chato
6.Geita-wilaya zake
Kama uko tayari mcheki no 0718347136
lushoto sehemu gani?
mkuu unapenda kuja lushoto sehemu gani nikufanyie mishe.
kuna jamaa yangu ndio anataka ahamie huko maeneo ya hapo town
anataka kuhamia akitokea wapi? i mean kwa sasa yuko mkoa/wilaya gani?
Ok basi sawa.yupo Shinyanga vijijini