WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo MUSOMA
idara msingi
Nije PWANI
TANGA
MOROGORO
DODOMA
DAR
# 0753 629314
# 0785 077035
 
Njoo Musoma Mjini nije Arusha Manispaa...ukiwa interested please Pm...idara ya sekondari
 
Jamani c uje handeni Tanga mm nije
mkuranga
Dar wilaya yoyote
Kibaha
Idara sec
0715475050
0786475050
 
[QUOTE KIPANYAboy.;11727126]njoo kilimanjaro nije morogoro idara sec mawasiliano 0686023728.[/QUOTE]
KIPANYA boy ww ni mwalimu lakini nahisi utakuwa unashindana na wanafunzi kuchora machata kwny kuta za vyoo vya shule!
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu idara ya Secondary, njoo Kyela nije Iringa au Njombe...
0714010511
 
Idara msingi nipo Mtwara natafuta mwl wa kubadilishana kutoka
Dar
Pwani
Morogoro
Iringa
Njombe
Mbeya
Rukwa
Wilaya yoyote kwa mikoa hiyo 0689976850
 
Anayetaka kubadilishana kituo mwalimu Wa sekondari Mimi Niko Arusha nataka nije mbeya 0758844240/0653198121
 
Nahitaji mwl wa kubadilishana nae idara secondary nipo halmashauri ya MSALALA-KAHAMA(Shinyanga ), wakubadilishana atoke DAR ES SALAAM, TANGA AU KILIMANJARO nichek 0654495591
 
Naitwa Perfectus Kimario mwal sec kwa aliyetayali kubadilishana kituo aje mkoa wa kagera wilaya ya ngara Mimi nije moshi mjini au vijijin, Dodoma na arusha
 
Naitwa baraka robert mwalim idara ya sec kwa aliyetayali kwa kubadilishana kituo aje Ngara kagera Mimi nije iringa, njombe,mbeya kwa aliyetayali ani pm
 
Njoo dodoma _chemba mm nije moro idara ya msingi nichek kupitia 0753666808
 
Back
Top Bottom