WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo mwanza jiji nyamagana nami nije dar es salaam jiji au kibaha mjini,idara sekondari 0716264618 au 0756021311
 
Anayetoka Dar Ilala Kino / Morogoro kuja Moshi ani pm au anipigie Mwl Kimambo Idara ya secondary 0684922628
 
Kuna Rafiki yangu pia anatafuta wa kubadilishana naye yuko Kalambo aje Moro Killimanjaro Dar Tanga!0658825141
 
Mwalimu yupo KWIMBA-MWANZA anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka wilaya ya NJOMBE(mkoa wa NJOMBE) idara ya msingi, 0762206989
 
kwa mwl ambaye anahitaji kuja mafia Idara ya sekondari, ili nije moro au songea ani PM
 
Back
Top Bottom