WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

ANAYETAKA IRINGA-atokee pwani,dsm,mkuranga au kisarawe ani pm- idara sec. Ipo kilolo karibuni na manispaa 30km.
 
Njoo Newala mtwara idara ya sekondari mimi nije halmashauri yoyote ya MKOA WA TANGA.Kwa mawasiliano nitafute ktk namba 0783677207.(piga au tuma SMS)
 
Mimi mwl. Ameir Chambo wa halmashauri ya Gairo-MOROGORO Idara ya sekondari, natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje MOROGORO mimi niende KOROGWE-Tanga. Kama upo tayarinipigie ktk namba 0764632267
 
kama upo njombe mjini njoo arusha mjini idara ya secondary mawasiliano 0659803969 asanten
 
njoo MUSOMA
nije PWANI
DAR
MOROGORO
TANGA
DODOMA
# 0753 629314
# 0785 077035
 
Njoo mahenge mkoa wa morogoro nije BABATI MJINI,ARUSHA MJINI,DAR ES SALAAM au KIBAHA TOWN. Idara secondari. Aliye tayari ani pm.
 
Mwalimu idara ya sekondari nipo Iringa manispaa nataka nibadilishane na mwalimu wa tabora manispaa. Kama upo interested njoo pm. Asante
 
mimi ni idara ya sec npo kilindi tanga ninatafuta wa kubadilishana nae kutoka mtwara(m) kama unahitaji nitafute 0786043373
 
Njoo musoma manispaa idara ya sekondari nije Arusha mjini...ni pm tafadhali
 
mwl. zuhura abdallah anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae yupo katavi mpanda na anahitaji kwenda morogoro kokote, dar es salaam, dodo mjin, pwan
no: 0688447757,0714261150
 
njoo mbulu manyara nije kati ya mikoa ya arusha pwani tanga moro iringa kahama dodoma nichek 0754614453
 
Back
Top Bottom