mimi nipo tra anayetaka kubadilishana aseme nataka niwe mwalimu wa mkoa wa lindi au kigoma
nko ruangwa lindi 0652270365mimi nipo tra anayetaka kubadilishana aseme nataka niwe mwalimu wa mkoa wa lindi au kigoma
mimi nipo tanga nataka ruvuma au mbeya
njoo handeni tanga nije kat ya meoneo yafuatayo.
Dar manispaa yoyote
mkuranga
kibaha
kisarawe
idara secondary
tuwasiliane kwa
0786 475050
0715 475050
jamani njoni muheza mie nije kibaha,bagamoyo,chalinze,lugoba,temeke au mkuranga idara secondari