WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo mkoa wa Katavi niende mikoa ifuatayo
Ruvuma wilaya ya Mbinga
Mbeya & Rukwa
idara msingi
mawasiliano 0759343230
0655373230(sms)
 
Njoo NEWALA (idara ya sekondari)nije wilaya yoyote ya MKOA WA TANGA.Kwa mawasiliano nitafute 0783677207,0767665619 au 0717765619.
 
mimi ni mwalimu idara ya msingi KILWA, natafuta mwalimu wakubadilishana nae kituo cha kazi, aje KILWA mimi nirudi KILIMANJARO ,TANGA au ARUSHA......0687209856 AU 0757191114[/QUOTE]
 
mimi ni mwalimu idara ya msingi KILWA, natafuta mwalimu wakubadilishana nae kituo cha kazi, aje KILWA mimi nirudi KILIMANJARO ,TANGA au ARUSHA......0687209856 AU 0757191114[/QUOTE]
 
natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo yaani anayefundisha Misungwi Mwanza Au Chato aje Huku wilaya ya Rungwe Mbeya kwa mwasiliano zaidi 0764335350
Mtumie na mwingine. Idara ya sekondari
 
Walimu wenzangu hebu leo tuangalie matokeo ya kidato cha pili amboyo necta wameamua kuyaeka kwny mfumo wa GPA ila mpaka sasa sijayaelewa,maana hizo GPA sijaelewa kabisa mm binafsi GPA niliefaamia chuo kila nikilinganisha na mfumo ule ni tofauti kabisa
 
Anayetaka kuja missenyi shule iliyokaribu na bukoba municipal km 8 mm niende iringa dom mbeya au singida nicheki 0713 026331 au 0688200146
 
Kubadilishana kituo kwa idara ya sekondari,kutoka Manyoni-Itigi na kwenda Songea (Municipal).
Kwa aliyekuwa tayari au mwenye mtu aliye tayari tuwasiliane tafadhali kwa no# 0788448728
 
Nipo bukombe -geita nataka mwalimu wa kubadilishana kutoka sengerema -mwanza idara -shule ya msingi mawasiliano 0766466462
 
MWL IDARA SEKONDARI NJOO TABORA MANISPAA MWL AJE MORO AU DAR

NJOO H/W TARIME MWL AJE MASASI, MTWARA

NJOO MANISPAA YA SINGIDA MWL AJE MANISPAA YA DODOMA

If u r interested ni pm

Huyo wa tabora manispaa mwambie aje iringa manispaa
 
Njoo Handeni Tanga nije
Kibaha
Mkuranga
Dar manispaa yyte
Kisarawe
Idara sec
Ukiwa tayar nicheki kwa
0786 475050
0715 475050
 
Nko lindi ruangwa nahtaj kwenda iwe tanga,Kilimanjaro,arusha,manyara,moro alyetayari tuwasiliane 0652270365 idara msingi
 
Mi nataka kubadilishana kituo cha kazi .
Idara ya sec.
Nipo igunga-tabora.
Nataka kurudi kwetu dom.
0762698044
 
Back
Top Bottom