Njoo mkoa wa Katavi niende mikoa ifuatayo
Ruvuma wilaya ya Mbinga
Mbeya & Rukwa
idara msingi
mawasiliano 0759343230
0655373230(sms)
Jamani naomba mwenye updates kuhusu uhamisho Wa mwezi December anipe info mana mpaka sasa sijui Niko njiapanda
njoo pwani wilaya ya mafia
Nitumie bas namba yako tuongee zaid
Njoo handeni tanga nije
mkuranga
kbaha
dar manispaa yoyote
idara sec tuwasiliane kwa
0786475050
0715475050
Dogo yupo kilwa anahitaji kwenda, Dar,bagamoyo,kisarawe,kibaha na mkuranga..idara ya sekondari