Mwl Dickson kiponda anatafuta mwl wa kubadilishana mkoa wa kufanyia kazi katika idara ya sekondari yeye aende iringa au njombe wewe uje singida namba yangu ni 0758555039
Nipo busega mjini karb na mwanza city njoo mimi nije mkoa wa pwani kati ya mkuranga, kisarawe au kibaha idara secondary.kwa mawasiliano 0713007615 au 0768560009
nipo ukerewe mwanza natafuta mwalm wakubadlishana nae idara ya sec. aje ukerewe mi niende wilaya yoyote mikoa ya manyara. arusha, na kilimanjaro anitafute kuptia 0752807090 au 0654529848
Anayetaka kuja lindi mimi niende tanga kibaha mkuranga morogoro manyara Arusha moshi same hai rombo popote kati ya huko anichek kwa no 0763520239. Idara ya msingi
Heshima kwenu wakuu.
Kaka yangu ni mwalimu wa sekondari katika masomo ya kiswahili na history wilaya ya kyela mkoa wa mbeya anahitaji kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu mwingine katika mikoa au maeneo ya morogoro mjini, makambako, dodoma mjini na iringa mjini.
Kwa alie katika sehemu hizo na angehitaji kubadilishana kituoa cha kazi tuwasiliane. Ndugu yangu ni mwalimu mwenye degree.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.