WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl idara ya sec nipo Moshi tubadilishane nije Lushoto Dar au Tanga mjini
 
Mwl idara ya sec nipo Moshi tubadilishane nije Lushoto Dar au Tanga mjini 0658825141/0767279713
 
Mwl idara Sec yupo Lindi mpakani na Mtwara anatafuta mwl Mwenzake wakubadilishana nae kutoka Eidha IRINGA;MORO;KILIMANJARO;MWANZA;MBEYA au GEITA popote
No:0784086460
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
wale wanaotaka kuja songea miniende mikoa ya TAGA,MORO,PWANI,KILIMANJARO.Idara ya Msingi.Tuwasiliane07875529180713552918
 
Natafuta wa kubadilishanae Niende manispaa ya ilala yeye aje temeke idara ya Sekondary
 
Nipo mkoa wa kigoma wilaya ya kibondo almashauri hapa, naitaji kuhamia either dar es salaam, morogoro, kibaha, nipo idara ya secondary
0685474701
 
Back
Top Bottom