WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

natafuta mwl wa kubadilishana kituo cha kazi nipo kalambo matai s. school, maeneo mbeya jj, moro municipal au dar wilaya yoyote.
 
nenda. peramiho songea Maposeni high school jamaa aje kibaha)0717145352
 
Njoo tabora manispaa mi nije tanga wilaya zifuatazo korogwe,muheza ,tanga mjini. mawasiliano 0765083251,0785057069.
 
Mimi si Mwalimu ila nina taarifa kuwa kuna nafasi 30 wilaya ya ilala kwa wanaotaka kuhamia hebu fuatilia kwa wale wanaotaka kufanya kazi wilaya ya ilala
 
Mimi ni mwalimu wa secondary nafanya kazi katika almashauri ya wilaya ya kibondo, mkoani kigoma.
Natafuta wa kubadilishana nae nihamie dar es salaam wilaya ya ilala au temeke

mawasiliano 0685 746574/0713 391363
 
Njoo mtwara manispaa nije mwanza jiji, sengerema, geita mji au chato. idara sekondari. 0652620272
 
Njoo same kilimanjaro nije babati. Idara ya sekondari. Nicheki kwa namba hii0655195782
 
Mwl wa sec anayetaka kuja IRINGA-KILOLO anahitajika. Ila atoke dsm, mkuranga, au bagamoyo. Ni pm
 
ninatafuta wa kubadilishana nae kutoka mtwara(m) idara ya sekondari aje kilindi tanga. 0786043373
 
Njoo dodoma manispaa nije mbeya jiji au wilaya ya mbeya. aliye tayari ani pm
 
Back
Top Bottom