WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi nahitaji kubadilisha kituo cha kazi,kutoka kasulu mji(kigoma) kwenda mikoa ifuatayo 1:Tanga
2😛wani
3:Kilimanjaro
4:morogoro
Wilaya yeyote ile katika mikoa hiyo.Idara Elimu sekondari,kwa mwenye uhitaji kama wangu ani pm.Ahsante
 
Njoo bumbuli _lushoto ule matunda, nije kibaha, tanga jiji, mlandizi..
 
Mwl MKIWA Idara msingi yupo SIMIYU-ITILIMA anatafuta mwl wakubadioishana nae kutoka RUVUMA;IRINGA AU MBEYA
NO:0763173006
 
Njoo mahenge mimi nije arusha mjini,arusha dc,babati,morogoro manispaa au dar es salaam.idara secondary
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo Kigoma halimaahauri Mimi nije kati ya mikoa ifuatayo Kahama;Kongwa;Mvomero:Babati;Tukuyu namba 0754966072
 
Mwalimu wa Idara ya Msingi anaehitaji kuhamia H/W NZEGA, TABORA akitokea MOROGORO, PWANI, TANGA, ARUSHA, KILIMANJARO au MANYARA kwa kubadilishana ajitokeze. Piga au tuma meseji: 0756160787/0718541913.
 
Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.

Dah.. mi niko mbeya nataka kuja Arusha vp hupataki Mbeya??
 
Back
Top Bottom